TA

Nafasi za Kazi 31 Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Tanzania Teachers Union (TTU)
📍 DodomaCDI🗓️ 6 days ago

Job Description

Dodoma
CDI

Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

Présentation du poste

The total number of job posts listed here for the Tanzania Teachers Union (Chama cha Walimu Tanzania – CWT) is 31 posts in August 2026. This trade union recruitment targets legal representation and office management support across CWT’s regional, district, and headquarters offices in Mainland Tanzania. Job Title / SpecializationPosts Katibu Muhtasi (Personal Secretary / Secretarial Assistant)27 Mwanasheria (Legal Officer / Advocate)4 TOTAL POSTS31 Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi kutoka kada ya walimu ambacho shughuli zake zipo Tanzania Bara. Chama kimesajiliwa kwa Namba 004 chini ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya mwaka 2004 na kinaajiri wafanyakazi kwa ajira ya kudumu katika mikoa, wilaya na makao makuu. Ili kuboresha huduma kwa wanachama, CWT kinatangaza nafasi za ajira kwa Katibu Muhtasi na Mwanasheria kwa Watanzania wenye sifa ambao watakuwa tayari kufanya kazi mahali popote Tanzania. 1. Katibu Muhtasi – Nafasi 27 Sifa za Mwombaji – Awe amehitimu Kidato cha Nne au zaidi. – Awe na Cheti cha NTA Level 4, 5 au 6 cha Uhazili kinachotambuliwa na NACTE. – Awe na uzoefu wa kutumia kompyuta na intaneti. – Awe na uwezo wa kutumia lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha. – Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili. Majukumu ya Kazi – Kupiga chapa nyaraka mbalimbali za Chama. – Kutunza kumbukumbu mbalimbali kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi. – Kupokea wageni na kuwaelekeza mahali wanapoweza kusaidiwa. – Kupokea mawasiliano mbalimbali ya ofisi na kumpatia msimamizi wa kazi. – Kufanya usafi katika ofisi za Chama. – Kutunza siri zote za ofisi. – Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wa kazi. 2. Mwanasheria – Nafasi 4 Sifa za Mwombaji – Awe na Shahada ya Kwanza ya Sheria (LLB) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. – Awe amehudhuria Shule ya Sheria (School of Law) na kuapishwa kama Wakili. – Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kwa ufasaha kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza. – Awe na uwezo wa kutumia kompyuta. – Awe raia wa Tanzania. – Mwombaji mwenye taaluma ya Ualimu atapewa kipaumbele. Majukumu ya Kazi – Kusimamia kesi mbalimbali za Chama na wanachama katika Mahakama na taasisi zenye mamlaka ya kusikiliza mashauri. – Kusoma na kutafsiri sheria na maandiko mbalimbali ya kisheria. – Kutoa ushauri wa kisheria kwa walimu na Chama. – Kutatua migogoro ya kikazi wanayokabiliana nayo walimu. – Kufuatilia utekelezaji wa changamoto mbalimbali za walimu katika ofisi za Serikali na kwa waajiri. Masharti ya Jumla – Waombaji wote wawe raia wa Tanzania. – Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45. – Waombaji waambatishe cheti cha kuzaliwa. – Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika. – CV iwe na majina na mawasiliano ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika. – Maombi yaambatane na vyeti vya taaluma na nakala za vyeti husika. – Waombaji waambatishe cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na Kidato cha VI kwa wale waliofikia kiwango hicho. – Waombaji waambatishe vyeti vya kitaaluma na vyeti vya mafunzo mbalimbali vinavyohusiana na sifa za kazi husika. – Waombaji wawe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili. – Waombaji wawe na uwezo wa kutumia lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha. – Waombaji wawasilishe picha moja ya passport size ya hivi karibuni na kuandika jina nyuma ya picha. – Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika, ikiwemo TCU na NECTA. – Uwasilishaji wa taarifa au sifa za kughushi utasababisha wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria. – Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza. – Waombaji watakaokidhi vigezo pekee ndio watakaoitwa kwenye usaili. Jinsi ya Kutuma Maombi Maombi yote yawasilishwe kwa: Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania (CWT) S.L.P. 3077 Dodoma, Tanzania Barua pepe: [email protected] Mwisho wa Kutuma Maombi: 01 Septemba 2026, saa 10:00 jioni. Mwajiri: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mahali pa Kazi: Tanzania Bara, kulingana na mahitaji ya Chama.

---

[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]

Ready to apply?

🚀 Boost your application

Stand out with a professional CV and a personalized cover letter generated by AI in 3 minutes.

🇨🇦

Canadian employers are also recruiting in Africa

Real offers from Canadian employers who are explicitly looking for candidates outside Canada. No agency, no fees — you apply yourself.

Expert Application Advice

When tailoring your CV for Tanzania Teachers Union (TTU), directly address how you meet les compétences demandées dans l'annonce with a specific, verifiable achievement. Use numbers and outcomes—don’t just list duties. This shows you understand their priority and proves you can deliver.

Multinational — These companies use structured behavioral assessments (STAR method). Prepare 5-6 concrete professional situation examples you can adapt. Demonstrating cultural adaptability is highly valued.

Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.

🎯 Make your application ATS-ready

ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.

Create my ATS CV →
Career advice powered by Taf4All

Your safety comes first — read before you go

Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

  • •Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
  • •Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
  • •Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
  • •Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
  • •Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
  • •A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.

You might also be interested in

SE

Nafasi za Kazi 5 PSRS Tanzania

🎯 Responsabilités The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is an independent government department in Tanzania established to facilitate the recruitment process for public service vacancies. AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) 5 Positions Applica

CDIil y a 7 jours
MD

Nafasi za Kazi 564 MDAs & LGAs

MDAs & LGAs·Tanzania

🎯 Responsabilités The total number of job posts listed here for the Ministries, Departments, Agencies and Local Government Authorities (MDAs LGAs) is 564 posts in September 2026. This nationwide public sector recruitment targets education, medical services, nursing, veterinary and livestock development, dental therapy

CDIil y a 7 jours
PA

Nafasi za Kazi za Kujitolea 21 Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

RÉCENT

🎓 Formation / Diplômes The total number of job posts listed here for the Pasiansi Wildlife Training Institute (Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi) is 21 posts in June 2026. This voluntary deployment is focused on strengthening institutional discipline, wildlife logistics, tactical physical training drill regim

CDIil y a 1 jour
TU

Nafasi za Kazi 3 Tumaini University Makumira (TUMA)

🧠 Profil recherché Tumaini University Makumira (TUMA) is a fully accredited private university in northern Tanzania, owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT). Located in the Arusha Region, it offers certificate, undergraduate, and postgraduate programs across law, education, theology, music, and bus

CDIil y a 3 jours