SE

Nafasi za Kazi 5 PSRS Tanzania

Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Utumishi
📍 TanzaniaCDI🗓️ 7 days ago

Job Description

Tanzania
CDI

Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

Responsabilités

The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is an independent government department in Tanzania established to facilitate the recruitment process for public service vacancies. AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) 5 Positions Application Period 04/09/2026 – 17/09/2026 Duties and Responsibilities – Kufuatilia na kusimamia uzingatiaji wa Sheria za kazi, Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma (Standing Orders), Kanuni na Taratibu za Watumishi, pamoja na maelekezo, miongozo na nyaraka mbalimbali kuhusu masuala ya utumishi; – Kutunza kumbukumbu za watumishi kwa mujibu wa taratibu na miongozo iliyowekwa; – Kushiriki katika maandalizi, utekelezaji na ufuatiliaji wa bajeti ya mwaka ya Kanda; – Kutekeleza majukumu ya usimamizi wa watumishi, kuratibu pamoja na kuandaa vikao; – Kushughulikia na kusimamia masuala ya kinidhamu kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zilizowekwa; – Kusaidia kukadiria na kupanga mahitaji ya rasilimaliwatu ya PSRS; – Kushiriki katika uchambuzi wa mahitaji ya mafunzo na maandalizi ya Mpango wa Bajeti ya Maendeleo na Mafunzo ya Rasilimaliwatu (HRDT); – Kuandaa rasimu za waraka, maelekezo, matangazo na nyaraka nyingine zinazohusu masuala ya watumishi; – Kusimamia utekelezaji wa MMfumo wa Upimaji na Tathmini ya Utendaji kazi wa watumishi (PEPMIS); na – Kutekeleza majukumu mengine yanayohusiana na majukumu yake atakayopangiwa na msimamizi; Qualifications Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Utawala wa Umma, Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Mipango na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, au sifa zinazolingana na hizo (related fields) kutoka katika taasisi zinazotambuliwa na Serikali, pamoja na uzoefu wa kazi usiopungua miaka saba (7) katika usimamizi wa Rasilimaliwatu. Aidha, mwombaji lazima awe amefanya na kufaulu Mtihani wa Umahiri (Human Resource Officer’s Proficiency Examination – PHR). Vilevile, mwombaji awe mtumishi wa Umma aliyefanya kazi kwa Mwajiri wa sasa kwa kipindi cha muda usiopungua miaka mitatu na awe tayari kujigharamia gharama za uhamisho. Remuneration PSRS 6

---

[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]

Ready to apply?

🚀 Boost your application

Stand out with a professional CV and a personalized cover letter generated by AI in 3 minutes.

🇨🇦

Canadian employers are also recruiting in Africa

Real offers from Canadian employers who are explicitly looking for candidates outside Canada. No agency, no fees — you apply yourself.

Expert Application Advice

When tailoring your CV for Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Utumishi, don’t just list your duties—show how you met a challenge like les compétences demandées dans l'annonce. Use bullet points with numbers or results. This proves you’re ready for the role and stand out to recruiters.

Positioning — Your cover letter must answer one question: why YOU for THIS specific role right NOW? Avoid generic templates — one sentence on what you specifically bring beats three generic paragraphs.

Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.

🎯 Make your application ATS-ready

ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.

Create my ATS CV →
Career advice powered by Taf4All

Your safety comes first — read before you go

Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

  • •Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
  • •Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
  • •Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
  • •Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
  • •Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
  • •A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.

You might also be interested in

TA

Nafasi za Kazi 31 Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

🏢 Présentation du poste The total number of job posts listed here for the Tanzania Teachers Union (Chama cha Walimu Tanzania – CWT) is 31 posts in August 2026. This trade union recruitment targets legal representation and office management support across CWT’s regional, district, and headquarters offices in Mainland T

CDIil y a 6 jours
MD

Nafasi za Kazi 564 MDAs & LGAs

MDAs & LGAs·Tanzania

🎯 Responsabilités The total number of job posts listed here for the Ministries, Departments, Agencies and Local Government Authorities (MDAs LGAs) is 564 posts in September 2026. This nationwide public sector recruitment targets education, medical services, nursing, veterinary and livestock development, dental therapy

CDIil y a 7 jours
UD

Nafasi za Kazi 3 UDA Rapid Transit PLC (UDART)

🎯 Responsabilités The total number of job posts listed here for UDA Rapid Transit Plc (UDART) is 3 posts in July 2026. This corporate governance, risk assessment, and corporate compliance recruitment is stationed at the UDART Depot Offices in Ubungo, Dar es Salaam, to oversee the capital’s rapid bus transit infrastruc

CDIil y a 3 jours
TU

Nafasi za Kazi 3 Tumaini University Makumira (TUMA)

🧠 Profil recherché Tumaini University Makumira (TUMA) is a fully accredited private university in northern Tanzania, owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT). Located in the Arusha Region, it offers certificate, undergraduate, and postgraduate programs across law, education, theology, music, and bus

CDIil y a 3 jours