MD

Nafasi za Kazi 564 MDAs & LGAs

MDAs & LGAs
📍 TanzaniaCDI🗓️ 7 days ago

Job Description

Tanzania
CDI

Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

Responsabilités

The total number of job posts listed here for the Ministries, Departments, Agencies and Local Government Authorities (MDAs & LGAs) is 564 posts in September 2026. This nationwide public sector recruitment targets education, medical services, nursing, veterinary and livestock development, dental therapy, laboratory technology, forestry, environmental health, and office secretarial management. Job Title / SpecializationPosts Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant Nursing Officer Grade II)128 Daktari Daraja la II (Medical Officer Grade II)115 Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II)74 Mwalimu Daraja la III C – Somo la Hisabati (Mathematics Teacher Grade III C)67 Mwalimu Daraja la III C – Somo la Fizikia (Physics Teacher Grade III C)55 Mwalimu Daraja la III B – Somo la Hisabati (Mathematics Teacher Grade III B)48 Mwalimu Daraja la III B – Somo la Fizikia (Physics Teacher Grade III B)43 Afisa Mifugo Daraja la II (Livestock Officer Grade II)39 Afisa Misitu Msaidizi Daraja la II (Assistant Forest Officer Grade II)28 Mteknolojia Maabara Daraja la II (Health Laboratory Technologist Grade II)25 Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja la II (Assistant Environmental Health Officer Grade II)26 Tabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II (Dental Therapist Grade II)17 Mwalimu Daraja la III C – Somo la Fasihi ya Kiingereza (English Literature Teacher Grade III C)13 TOTAL POSTS564 MDAs & LGAs Vacancies: 564 | Latest closing: 17/09/2026 MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE SUBJECT) Posts: 13 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGTS-D Duties and Responsibilities – Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; – Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; – Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; – Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; – Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi; – Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu; – Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na – Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule. Qualifications Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fasihi ya Kiingereza AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fasihi ya Kiingereza pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali. Apply for this position DAKTARI DARAJA LA II (MEDICAL OFFICER GRADE II) Posts: 115 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGHS E Duties and Responsibilities – Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na wa dharura. – Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi. – Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa. – Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA. – Kupanga na kutathimini huduma za afya katika eneo lake la kazi. – Kufundisha wanafunzi na watumishi waliopo kwenye eneo la kazi. – Kusimamia na kuelekeza wafanyakazi walio chini yake. – Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo. – Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake. – Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya. – Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya (medical audit and quality improvement). Qualifications Kuajiriwa wenye Shahada ya Udaktari kutoka Vyuo Vikuu/Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika). Apply for this position AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT NURSING OFFICER GRADE II) Posts: 128 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGHS-B Duties and Responsibilities – Kutoa huduma za uuguzi. – Kukusanya takwimu muhimu za afya. – Kuwaelekeza kazi wauguzi walio chini yake. – Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya. – Kutoa huduma za kinga na uzazi. – Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. Qualifications Kuajiriwa wenye Stashahada (Diploma) ya Uuguzi, ya muda usiopungua miaka miwili kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, waliosajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania Apply for this position AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK OFFICER GRADE II) Posts: 39 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGS.D Duties and Responsibilities – Kubuni mipango ya uzalishaji mifugo wilayani; – Kuratibu uzalishaji wa mifugokatikamashamba madogo na makubwa ya mifugo; – Kusaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na uzalishaji wa mifugo wilayani; – Kuratibuna kuendesha mafunzo ya ufugajibora, usindikaji wa mazao ya mifugo kwa wataalam wa mifugo na wafugaji; – Kufanyamapitio na marekebisho ya miundombinu ya masoko ya mifugo wilayani kwake na mkoani; – Kubuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo ya mifugo wilayani; – Kufanya soroveya ya rasilimali (resource survey) k.m. mifugo, vyakula vya mifugo, malisho n.k. katika eneo lake la kazi; – Kuendesha mafunzokwa mawakala, wauzaji na wataalam juu ya njia salama katika kuweka na kusambaza pembejeo za mifugo; – Kutafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo mbalimbali; – .Kufanya tathmini juu ya uharibifu wa mazingira unaotokana na ufugaji katika wilaya; – .Kushiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya wanyama/viumbe waharibifu wa malisho; – Kufuatilia,kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za uzalishaji wa mifugo; – Kuandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo; – .Kufanya kazi nyingine zinazohusianana fani yake kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi. Qualifications Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Animal Science) au Sayansi ya Kilimo waliobobea katika Sayansi ya Wanyama kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine au sifa inayolingana na hiyo kutoka chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Apply for this position TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II) Posts: 17 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGHS B Duties and Responsibilities – Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi. – Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida. – Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo. – Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi. – Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii. – Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma. – Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji. – Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi Qualifications Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno (Diploma in Clinical Dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari. Apply for this position MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA II ( HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II) Posts: 25 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGHS B Duties and Responsibilities – Kupima sampuli zinazoletwa maabara. – Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu. – Kufanya kazi za ukaguzi wa maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali. – Kuweka kumbukumbu za maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi. – Kufundisha watumishi walio chini yake. – Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake Qualifications Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Maabara za afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalam wa Maabara. Apply for this position MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA FIZIKIA (PHYSICS SUBJECT) Posts: 55 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGTS- D Duties and Responsibilities – Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; – Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; – Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; – Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; – Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi; – Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu; – Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; – Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule. Qualifications Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Fizikia au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Fizikia pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali. Apply for this position MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA HISABATI (MATHEMATICS SUBJECT) Posts: 67 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGTS- D Duties and Responsibilities – Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; – Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; – Kufundisha, kufanya Tathmini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; – Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; – Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi; – Kutoa ushauri wa Kitaalamu na kutaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu; – Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za Shule; na – Kazi nyingine atakazopangwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule. Qualifications Kuajiriwa mwenye Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo la kufundishia la Hisabati AU Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo la kufundishia la Hisabati pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali. Apply for this position MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA FIZIKIA (PHYSICS SUBJECT) Posts: 43 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGRS C Duties and Responsibilities – Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; – Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; – Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; – Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; – Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi; – Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu; – Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na – Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule. Qualifications Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Fizikia kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali. Apply for this position MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA HISABATI (MATHEMATICS SUBJECT) Posts: 48 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGTS-C Duties and Responsibilities – Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; – Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; – Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi; – Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani; – Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi; – Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu; – Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na – Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule. Qualifications Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Hisabati kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali. Apply for this position AFISA MISITU MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FOREST OFFICER GRADE II) Posts: 28 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGS C Duties and Responsibilities – i. Kusimamia ukusanyaji mbegu na bustani za miti. – ii. Kukusanya takwimu za misitu. – iii. Kusimamia kazi za upandaji, utunzaji na uvunaji wa miti/misitu. – iv. Kukusanya maduhuli. – v. Kupima mazao ya misitu. – vi. Kufanya doria. – vii. Kufanya kazi nyingine kama atakavyoagizwa na Msimamizi wake; Qualifications Kuajiriwa wenye Stashahada katika mojawapo ya fani zifuatazo; Forestry, Agroforestry, Forest Resources Assessment and Management, Forest Biology, Forest Economics, Forest Engineering au fani nyingine inayoendana na hiyo kutoka katika Taasisi au Vyuo vinavyotambulika na Serikali. Apply for this position AFISA AFYA MAZINGIRA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER GRADE II) Posts: 26 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGHS B Duties and Responsibilities – i. Kudhibiti na kuzuia milipuko ya magonjwa; – ii. Kupambana na kuzuia wadudu na wanyama wanaoeneza magonjwa; – iii. Kusimamia uzikaji wa maiti zisizotambuliwa na zile zinazotokana na magonjwa ya kuambukiza; – iv. Kuandaa taarifa mbali mbali za Afya ya Mazingira katika ngazi ya kata na kuziwasilisha katika mamlaka husika; – v. Kukusanya na kuchambua takwimu za Afya ya Mazingira, katika kata na kutoa mrejesho ili kuchukua hatua zinazostahili;Kutoa elimu ya afya ya mazingira kwa jamii; – vi. Kukagua mazingira katika sehemu zinapotengenezwa vyakula ili kuhakikisha usalama na afya ya jamii; – vii. Kusimamia sheria za afya ya mazingira katika ngazi ya Kata pamoja na kusaidia jamii katika kutengeneza sheria ndogondogo; – viii. Kuhamasisha jamii katika kuboresha vyanzo vya maji na Usafi wa Mazingira; – ix. Kuhamasisha jamii kuhusu utekelezaji wa Huduma za Afya ya Msingi katika ngazi ya Kata; na – x. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake. Qualifications Kuajiriwa wenye Stashahada ya Sayansi ya Afya ya Mazingira kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na wawe amesajiliwa na Bodi ya Wataalamu wa Afya Mazingira. Apply for this position MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II) Posts: 74 | Closing: 17/09/2026 | Period: 03/09/2026 – 17/09/2026 | Scale: TGS C Duties and Responsibilities – Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri; – Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa; – Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine; – Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi; – Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;. – Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika; – Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali; – Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix. – Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. Qualifications Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100(100.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. Apply for this position

---

[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]

Ready to apply?

🚀 Boost your application

Stand out with a professional CV and a personalized cover letter generated by AI in 3 minutes.

🇨🇦

Canadian employers are also recruiting in Africa

Real offers from Canadian employers who are explicitly looking for candidates outside Canada. No agency, no fees — you apply yourself.

Expert Application Advice

Always tailor your CV to mirror the language used in the job description for MDAs & LGAs. If you meet the key requirement of les compétences demandées dans l'annonce, place it prominently near the top of your profile. This immediate alignment shows you understand their specific needs.

Multinational — These companies use structured behavioral assessments (STAR method). Prepare 5-6 concrete professional situation examples you can adapt. Demonstrating cultural adaptability is highly valued.

Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.

🎯 Make your application ATS-ready

ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.

Create my ATS CV →
Career advice powered by Taf4All

Your safety comes first — read before you go

Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

  • •Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
  • •Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
  • •Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
  • •Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
  • •Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
  • •A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.

You might also be interested in

SE

Nafasi za Kazi 5 PSRS Tanzania

🎯 Responsabilités The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is an independent government department in Tanzania established to facilitate the recruitment process for public service vacancies. AFISA RASILIMALIWATU MWANDAMIZI Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) 5 Positions Applica

CDIil y a 7 jours
TU

Nafasi za Kazi 3 Tumaini University Makumira (TUMA)

🧠 Profil recherché Tumaini University Makumira (TUMA) is a fully accredited private university in northern Tanzania, owned by the Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT). Located in the Arusha Region, it offers certificate, undergraduate, and postgraduate programs across law, education, theology, music, and bus

CDIil y a 3 jours
UD

Nafasi za Kazi 3 UDA Rapid Transit PLC (UDART)

🎯 Responsabilités The total number of job posts listed here for UDA Rapid Transit Plc (UDART) is 3 posts in July 2026. This corporate governance, risk assessment, and corporate compliance recruitment is stationed at the UDART Depot Offices in Ubungo, Dar es Salaam, to oversee the capital’s rapid bus transit infrastruc

CDIil y a 3 jours
SH

Nafasi za Kazi 23 Shanta Mining Company Limited (Shanta Gold)

RÉCENT

🎯 Responsabilités The total number of job posts listed here for Shanta Mining Company Limited (Shanta Gold) is 23 posts in July 2026. This intensive operational intake marks a major development transition at the Singida Gold Mine (based in the Ikungi District) as it scales from open pit extraction to high yield deep u

CDIil y a 2 jours