PA

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge Majina ya Nyongeza 20-12-2025

Parliament of Tanzania
📍 TanzaniaCDI🗓️ 7 days ago

Job Description

Tanzania
CDI

Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

Katibu wa Bunge Ofisi ya Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- – Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada. – Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka. – Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za nafasi husika. – Wasailiwa watakaowasilisha ‘Testimonials, Provisional Results, Statement of results’, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (‘form IV and form VI results slips’) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI. – Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi. – Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi. Aidha kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi. – Kwa wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji ‘GPA’ waliosoma nje ya Tanzania wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU. – Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za ‘Ajira Portal’ na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine. – Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili. Aidha wasailiwa watakaofanya usaili wa mchujo kwa njia ya Mtandao wanapaswa kukumbuka barua pepe (email address) na nywila (password) zao wanazotumia katika mfumo wa Ajira Portal. – Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi. [pdf-embedder url=”https:

[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]

Ready to apply?

🚀 Boost your application

Stand out with a professional CV and a personalized cover letter generated by AI in 3 minutes.

🇨🇦

Canadian employers are also recruiting in Africa

Real offers from Canadian employers who are explicitly looking for candidates outside Canada. No agency, no fees — you apply yourself.

Expert Application Advice

When tailoring your CV for Parliament of Tanzania, don’t just list your duties—show how you met a challenge like les compétences demandées dans l'annonce. Use bullet points with numbers or results. This proves you’re ready for the role and stand out to recruiters.

Positioning — Your cover letter must answer one question: why YOU for THIS specific role right NOW? Avoid generic templates — one sentence on what you specifically bring beats three generic paragraphs.

Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.

🎯 Make your application ATS-ready

ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.

Create my ATS CV →
Career advice powered by Taf4All

Your safety comes first — read before you go

Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

  • •Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
  • •Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
  • •Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
  • •Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
  • •Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
  • •A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.

You might also be interested in

SE

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Umma 08-01-2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba nafasi katika taasisi mbalimbali zikiwemo Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), MDAs LGAs, RUWASA, Makumbusho ya Taifa (NMT), Tume ya Madini (TMC), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), VETA, TEMESA, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), TIRDO, CAMARTE

CDIil y a 8 jours
SE

Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma 19-12-2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 11 2024 na tarehe 17 10 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi

CDIil y a 7 jours
SE

Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma 11-01-2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14 01 2025 na tarehe 22 12 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi

CDIil y a 8 jours
SE

Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma 09-01-2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 11 01 2025 na tarehe 28 11 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi

CDIil y a 8 jours