SE

Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma 09-01-2026

Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Utumishi
📍 TanzaniaCDI🗓️ 8 days ago

Job Description

Tanzania
CDI

Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 11-01-2025 na tarehe 28-11-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana. MAAGIZO KWA WALIOFAULU Jinsi ya Kupata Barua: Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, barua zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia akaunti zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications. Hivyo, watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa. Utaratibu wa Kuripoti na Vyeti: Waombaji kazi walio faulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. UJUMBE KWA AMBAO MAJINA HAYAKUTOKA Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi au hawa kufaulu usaili. Hivyo, wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapo tangazwa. [pdf-embedder url=”https:

[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]

Ready to apply?

🚀 Boost your application

Stand out with a professional CV and a personalized cover letter generated by AI in 3 minutes.

🇨🇦

Canadian employers are also recruiting in Africa

Real offers from Canadian employers who are explicitly looking for candidates outside Canada. No agency, no fees — you apply yourself.

Expert Application Advice

Always tailor your CV to mirror the language used in the job description for Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Utumishi. If you meet the key requirement of les compétences demandées dans l'annonce, place it prominently near the top of your profile. This immediate alignment shows you understand their specific needs.

Positioning — Your cover letter must answer one question: why YOU for THIS specific role right NOW? Avoid generic templates — one sentence on what you specifically bring beats three generic paragraphs.

Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.

🎯 Make your application ATS-ready

ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.

Create my ATS CV →
Career advice powered by Taf4All

Your safety comes first — read before you go

Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

  • •Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
  • •Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
  • •Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
  • •Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
  • •Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
  • •A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.

You might also be interested in

SE

Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma 11-01-2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 14 01 2025 na tarehe 22 12 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi

CDIil y a 8 jours
SE

Tangazo la Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali za Umma 19-12-2025

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09 11 2024 na tarehe 17 10 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi

CDIil y a 7 jours
SE

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Umma 08-01-2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba nafasi katika taasisi mbalimbali zikiwemo Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), MDAs LGAs, RUWASA, Makumbusho ya Taifa (NMT), Tume ya Madini (TMC), Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), VETA, TEMESA, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), TIRDO, CAMARTE

CDIil y a 8 jours
PA

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge Majina ya Nyongeza 20-12-2025

Katibu wa Bunge Ofisi ya Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: – Usail

CDIil y a 7 jours