DS

Trucks Drivers (7 Positions) at DSM Corridor Group

DSM Corridor Group (DCG)
📍 Dar es SalaamCDI🗓️ 1 day ago

Job Description

Dar es Salaam
CDI

Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

DSM Corridor Group Ltd inatafuta kuajiri Madereva wa Malori katika Idara yake ya Ufundi (Technical Department). Waombaji watakaofanikiwa watahusika na uendeshaji wa malori makubwa na madogo kwa kuzingatia taratibu za kampuni pamoja na viwango vya usalama. MAJUKUMU NA WAJIBU WA KAZI – Kusafirisha kwa usalama makontena na mizigo kati ya maeneo ya kampuni ya DCG, bandarini, na maeneo ya wateja kwa kuzingatia ratiba na njia zilizopangwa na kampuni. – Kufanya ukaguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kuhakikisha ubora wa gari, usafi, na uzingatiaji wa viwango vya usalama na matengenezo. – Kuhakikisha nyaraka za mizigo na usafirishaji zimekamilika, ni sahihi, na zinafuata taratibu husika. – Kupakia na kushusha mizigo kwa kushirikiana na timu za ghala na bandarini huku ukihakikisha mizigo inalindwa dhidi ya uharibifu au upotevu. – Kuhakikisha mizigo inafikishwa kwa wakati na kuwasiliana na kitengo cha usafirishaji au msimamizi endapo kutatokea ucheleweshaji, ajali, au mabadiliko ya njia. – Kufuatilia matumizi ya mafuta na kutoa taarifa za kilomita, matumizi ya mafuta, na dosari zozote kwa msimamizi. – Kuwasilisha uthibitisho wa uwasilishaji wa mzigo (POD) pamoja na nyaraka husika mara baada ya safari kukamilika. – Kuzingatia kikamilifu sheria za barabarani, sera za usalama za kampuni, na maadili ya udereva wakati wote. – Kuripoti hitilafu au matatizo ya kiufundi kwa kitengo cha matengenezo mara moja. – Kushiriki katika ratiba za matengenezo ya magari ili kuhakikisha huduma za kinga zinafanyika kwa wakati. – Kutunza kumbukumbu za safari, taarifa za uwasilishaji, na taarifa sahihi za muda wa kazi. – Kufanya majukumu mengine yatakayopangwa na msimamizi, ikiwemo kuendesha vifaa vingine kama Forklift, Wheel Loader, Excavator, na Bobcat inapohitajika. SIFA ZA MWOMBAJI – Awe na Leseni halali ya udereva ya Tanzania – Daraja E na C. – Awe na uzoefu wa miaka 3–5 katika kuendesha malori makubwa au magari ya kubeba makontena kwenye sekta ya usafirishaji au mizigo. – Awe na uelewa wa shughuli za bandarini na taratibu za forodha. – Mafunzo ya udereva wa kujihami (Defensive Driving) au usalama barabarani yatakuwa faida ya ziada. – Awe na nidhamu, uwajibikaji, na uwezo mzuri wa kutunza muda. – Awe na cheti cha udereva kutoka taasisi inayotambulika. – Elimu ya angalau kidato cha nne inapendekezwa. – Awe na Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au namba ya NIDA. – Awe tayari kufanya kazi za zamu za usiku. – Awe mwaminifu, mwenye kujisimamia, na mwenye kuwajibika binafsi. – Uwezo wa kuendesha vifaa kama Forklift, Wheel Loader, Excavator, na Bobcat utakuwa faida. – Ujuzi wa matengenezo ya magari makubwa au vifaa vizito utaongeza nafasi ya kuajiriwa. MALIPO Kampuni itatoa mshahara na marupurupu ya ushindani kulingana na sheria za kazi. Mkataba wa kazi ni wa mwaka mmoja (1) na unaweza kuongezwa kulingana na utendaji wa kazi. MASHARTI YA JUMLA YA MAOMBI Maombi yawasilishwe moja kwa moja katika dawati la mapokezi la Makao Makuu ya DSM Corridor Group, Plot No. 2A Bandari Road, Kurasini, au kupitia barua pepe: [email protected]. Waombaji watakaofanikiwa wanaweza kuhitajika kupitia:

  • Ukaguzi wa kiusalama
  • Tathmini ya uwezo wa kazi
  • Ukaguzi wa afya ya mwili
  • Uhakiki wa taarifa za waombaji Wanawake wanahimizwa sana kuomba nafasi hizi. MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI Tafadhali wasilisha maombi kabla ya tarehe 31/07/2026.

---

[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]

Ready to apply?

🚀 Boost your application

Stand out with a professional CV and a personalized cover letter generated by AI in 3 minutes. 9 Chauffeur position(s) posted this week in Tanzanie.

🇨🇦

Canadian employers are also recruiting in Africa

Real offers from Canadian employers who are explicitly looking for candidates outside Canada. No agency, no fees — you apply yourself.

Expert Application Advice

When tailoring your CV for DSM Corridor Group (DCG), directly address how you meet les compétences demandées dans l'annonce with a specific, verifiable achievement. Use numbers and outcomes—don’t just list duties. This shows you understand their priority and proves you can deliver.

Positioning — Your cover letter must answer one question: why YOU for THIS specific role right NOW? Avoid generic templates — one sentence on what you specifically bring beats three generic paragraphs.

Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.

🎯 Make your application ATS-ready

ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.

Create my ATS CV →
Career advice powered by Taf4All

Your safety comes first — read before you go

Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.

  • •Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
  • •Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
  • •Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
  • •Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
  • •Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
  • •A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.

You might also be interested in

BR

Driver – 2 Positions

BRAC·Dar es Salaam

🛠️ Compétences requises Job Location: Tanga Tabora If you feel you are the right match for the above mentioned position, please follow the application instructions accordingly: External candidates need to email their CV with a letter of interest mentioning educational grades, years of experience, current and expected

CDIabout 2 months ago
SA

Procurement Officers (3 Positions) at Bakhresa Group

RÉCENT

🎯 Responsabilités Location: Dar es Salaam, Tanzania Application Deadline: 11th July 2026 Said Salim Bakhresa Co. is looking for three (3) Procurement Officers to join its dynamic team. Key Responsibilities – Source and procure goods and services in line with company policies. – Manage supplier relationships, negotiati

CDI2 days ago
HA

Tractor Operators – Multiple Positions

🧠 Profil recherché INDUSTRY: AGRICULTURE Hakadosh Company Limited, on behalf of our client, is seeking qualified and experienced Tractor Operators to support agricultural operations. The successful candidates will be responsible for operating agricultural tractors of different horsepower capacities to support land pre

CDI3 days ago
AB

6 Positions

AB InBev·Dar es Salaam

🛠️ Compétences requises Company Overview AB InBev is the parent company of Tanzania Breweries Limited (TBL Plc), a leading brewery in Tanzania that produces and distributes beer and other beverages. TBL Plc is also known as a significant employer and taxpayer in Tanzania, with multiple accolades for its manufacturing

CDI7 days ago