Your safety comes first — read before you go. Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.
POST: MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII DARAJA LA II – 2 POST EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema APPLICATION TIMELINE:: 5-08-11 JOB SUMMARY: NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES: – Kusaidia kubuni na kupanga mipango na miradi ya maendeleo katika eneo lake, ii) Kusaidia uwezeshaji na upatikanaji wa mafunzo kuhusu masuala ya maendeleo katika eneo lake iii) Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo. iv) Kusaidia kutoa elimu kuhusu kazi za kujitegemea katika eneo lake, v) Kuandaa na kutoa taarifa za kazi za maendeleo ya jamii kila mwezi kwa uongozi wa kijiji na kwa Msimamizi wake wa kazi, vi) Kusaidia kuunda vikundi vya kijamii na vya kimaendeleo. vii) Kutambua na kuwezesha kaya masikini kuinua uchumi wao kupitia fursa na rasilimali zinazowazunguka. viii) Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi QUALIFICATION AND EXPERIENCE: Kuajiriwa mwenye Astashahada (Certificate) ya Maendeleo ya Jamii kutoka Vyuo vya Maendeleo ya Jamii au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo wa fani zifuatazo: Maendeleo ya Jamii (Community Development),Sayansi ya Jamii (Sociology, Masomo ya Maendeleo (Development Studies),Mipango na Usimamizi wa Miradi (Project Planning and Management),Jinsia na Maendeleo (Gender and Development),Rural Development, Au fani nyingine zinazofanana na Maendeleo ya Jamii.
REMUNERATION
: TGS B
[Click the Apply button below to apply, and Create my CV to build a CV tailored to this offer, professionally]
When tailoring your CV for Sengerema District Council, don’t just list your duties—show how you met a challenge like les compétences demandées dans l'annonce. Use bullet points with numbers or results. This proves you’re ready for the role and stand out to recruiters.
Positioning — Your cover letter must answer one question: why YOU for THIS specific role right NOW? Avoid generic templates — one sentence on what you specifically bring beats three generic paragraphs.
Targeted application — Align your CV to this offer's exact keywords and back every claimed skill with a concrete example. A cover letter showing you understand the specific challenges of this role consistently makes the difference.
🎯 Make your application ATS-ready
ATS (Applicant Tracking Systems) are the software recruiters use to automatically filter CVs before any human reads them. Our CV builder is specifically designed to pass these filters — and it takes under 3 minutes.
Taf4All only lists job offers published by third parties. We are not the employer, we do not conduct these recruitments, and we cannot guarantee what happens once you make contact — you deal directly with the person or company behind the offer, at your own risk.
•Never pay any amount of money — for a file, a training, a uniform, or an interview. A real employer never asks the candidate to pay.
•Never send a photo of your ID card, passport, or banking details before you have physically verified the employer exists.
•Always meet in a public place, during the day — never an isolated address, a private home, or a location you cannot verify in advance.
•Tell a relative or friend exactly where you are going, with whom, and at what time — and share your live location if possible.
•Search the company name online before going: a real business has a trace (website, reviews, other employees, an official address).
•A salary that is far above the market rate for the position and the city is a red flag — be extra cautious.
POST: KATIBU WA SHERIA MSAIDIZI DARAJA LA II – 20 POST EMPLOYER: Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) APPLICATION TIMELINE:: 5 06 01 JOB SUMMARY: NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES: – Kupokea nakala za kumbukumbu za Mahakama (Court Records) kuhusu kesi za Jinai, Rufani za kesi za Jinai, Kesi za jinai zinazohitajika kusahihish
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 3 POST EMPLOYER: Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga APPLICATION TIMELINE:: 5 06 01 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: – Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing cor
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 5 POST EMPLOYER: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika APPLICATION TIMELINE:: 5 06 02 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: – Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register) Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing corre
POST: DEREVA DARAJA II – 2 POST EMPLOYER: Halmashauri ya Mji wa Tarime APPLICATION TIMELINE:: 5 08 11 JOB SUMMARY: NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES: – Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari – Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi – Kufanya matengenezo madogo ma